Ashura Ulaya

IQNA

IQNA – Maelfu ya Waislamu wa Kishia na wapenzi wa Ahlul-Bayt (AS) katika miji mbalimbali ya Ulaya waliinua bendera za maombolezo ya Muharram na kupaza mwito wa “Labayka Ya Hussein”.
Habari ID: 3482404   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/26